Ticker

6/recent/ticker-posts

AUDIO:SIMBA SC WAPATA KIBALI CHA MAVUGO NA WACHEZAJI WENGINE WAWILI

 Mhariri:Herman Kihwili. IMEWEKWA.AUG 19,2016 SAA 01:08 JIONI 
Katibu mkuu wa klabu ya Simba Patrick Kahemele hii leo amethibitisha kukamilika kwa zoezi la upatikanaji wa kibali cha
uhamisho wa kimataifa cha mshambuliaji kutoka nchini Burundi Laudit Mavugo.

Kahemele alithibitisha taarifa hizo katika hafkla maalum ya uzunduzi wa Ujenzi wa mradi wa Uwanja wa Bunju uliofanyika hii leo katika eneo la uwnajani huo uliopo nje kidogo ya jiji la Dar es salaam, huku akigusia vibali vya wachezaji wengine wa kimataifa waliosajiliwa huko Msimbazi.

Kahemele amethibitisha hilo pamoja na kukamilisha aratibu za usajili wa mchezaji kutoka Ivory Coast na Zimbabwe.

SIKILIZA HAPA
K

KWA TAARIFA,BREAKING NEWS,RATIBA PAMOJA NA MATOKEO YA MECHI MBALIMBALI,LIKE PAGE YA FACEBOOK  BONYEZA HAPA (Jamii na Michezo)

Post a Comment

0 Comments