Hii leo Jumamosi Julai 2, 2016 Kamati ya Maadili ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) imefanya kikao chake kwenye
ukumbi wa ofisi za TFF zilizoko kwenye Uwanja wa Kumbukumbu ya Karume, makutano ya barabara za Shaurimoyo na Uhuru, Ilala jijini Dar es Salaam.
Viongozi watatu kutoka wanachama wa TFF walihitajika kufika kwenye kikao hicho kilichoanza kuanza saa 4.30 asubuhi.
- Viongozi hao ni Jerry Muro - Msemaji wa Young Africans S.C
- Nassib Mabrouk - Katibu wa MZFA na Msimamizi msaidizi wa kituo cha Mwanza
- Mbasha Matutu - Mjumbe wa mkutano mkuu Mkoa wa Shinyanga.
ANGALIA PICHA
0 Comments