Beki mwenye umri wa miaka 35 ambaye amekuwa nahodha Blues kwa mataji manne ya Ligi Kuu kwa zaidi ya michezo 700 aliyookana, amesaini mkataba wa mwaka mmoja mwezi Mei baada ya kuonekana kwamba alikuwa karibu na kutaka kuondoka Stamford Bridge
Akizungumza katika mkutano wake wa kwanza wa waandishi wa habari tangu awasili katika klabu hiyo , Conte alisema: "John Terry amesaini mkataba kama mchezaji, na si kwa jukumu tofauti'
"Yeye ni nahodha wa timu hii, na mchezaji mkubwa na mtu mkubwa"
""ndiyo,John Terry ni nahodha wa Chelsea , wakati anacheza au wakati hachezi, daima ni nahodha".
0 Comments