Shirikisho la soka nchini TFF limeendelea kusisitiza adhabu
zilizotangazwa na kamati ya nidhamu hapo jana dhidi ya mkuu wa idara ya habari
na
mawasilino wa klabu ya Young Africans jerry Muro pamoja na katibu mkuu wa chama cha soka mkoa wa Mwanza MZFA.
mawasilino wa klabu ya Young Africans jerry Muro pamoja na katibu mkuu wa chama cha soka mkoa wa Mwanza MZFA.
Afisa habari wa shirikisho la soka nchini TFF, Alfred Lucas
amesema adhabu zilizotangazwa na kamati ya nidhamu hapo jana zimechukuliwa kwa
mujibu wa kanuni na taratibu hivyo amewasihi wadau wa soka kupuuza
yanayozungumzwa.
Hata hivyo Alfred Lucas amesema pamoja na adhabu hizo
kutolewa kuna baadhi ya mambo hayaafikiwa na katibu mkuu wa shirikisho la soka
nchini Celestine Mwesigwa ambaye ndiye aliyewasilisha mashataka dhidi ya
watuhumiwa.
SIKILIZA HAPA
0 Comments