Rais
wa klabu ya Simba Evance Eliezer Aveva amekanusha taarifa za uongozi wake
kufanya maamuzi ya kuwafuta kazi makocha, kwa lengo la
kuwaridhisha baadhi ya wanachama pamoja na mashabiki pale inapobidi.
Aveva ametoa ufafanuzo huo ikiwa ni baada ya siku tatu kupita ambapo ilishuhudiwa akisaini mkataba wa miaka miwiwli na kocha kutoka nchini Cameroon, Joseph Omog ambaye anaaminiwa huenda akaleta mabadiliko ndani ya kikosi cha Simba.
Aveva amesema uongozi wake umekua unathamini mchango wa kila kocha aliyefanikiwa kufanya kazi klabuni hapo tangu alipoingia madarakani miaka mitatu iliyopita, lakini changamoto kadhaa zimekua zikilazimisha maamuzi magumu kuchukuliwa.

MSIKILIZE RAIS WA SIMBA EVANCE AVEVA
Kuhusu
usajilia mbao umefanywa ana kamati ya usajili chini ya mwenyekiti wake Zacharia
Hans Poppe, wakati ambapo kocha Omog alikua bado hajaafiki kufanya kazi na
klabu ya Simba, Evance Aveva amesema suala hilo limefanywa kwa kuzingatia agizo
ambalo lilionekana katika ripoti ilityowasilishwa na kocha Jackson Mayanja.
0 Comments