Ticker

6/recent/ticker-posts

ANGALIA KATIKA PICHA NAMNA ARSENAL ILIVYOSHINDWA KUTAMBA MBELE YA EVERTON,PAMOJA NA MATOKEO YA MICHEZO MINGINE YA LIGI MBALIMBALI ULAYA

Mhariri:Herman Kihwili.IMEWEKWA DESEMBA 8.2013 SAA 03:00 USIKU
BANNER-Everton-live-2.jpg

Ligi kuu ya England imeendelea hii leo kwa michezo miwili kati ya Fulham na Aston Villa pamoja na Arsenal na Everton,huku macho na masikio ya wengi yakiwa katika mchezo wa timu ya Arsenal na Everton,ambapo Arsenal hii leo  imeshindwa kutamba katika
uwanja wake wa nyumbani baada ya kulazimishwa sare ya bao 1 kwa 1 na timu ya Everton, katika mchezo wa ligi kuu hiyo uliopigwa katika uwanja wa Emirates.
Katika! Mesut Ozil mezzanine high katika Everton wavu kutoa majeshi risasi
Mesut Ozil akipachika bao la kuongoza
Joyous: lengo Ozil ya dakika ya 80 inaonekana kuwa kutokana na Arsenal pointi zote tatu
Mesut Ozil akishangilia bao lake
Wapinzani wengi wa Arsenal walijua kuwa timu hiyo ingefungwa mchezo huo,baada ya timu ya Everton kuweza kuonyesha ubabe kwa timu ya Manchester United kwa kuifunga nyumbani bao 1 kwa 0 katika mchezo wao iliopingwa siku ya tarehe 4 mwezi huu.
Mchezo wa kuigiza: Gerard Deulofeu kuadhimisha bao la kusawazisha stunning dakika nne baada ya kopo Ozil ya
Gerard Deulofeu akishangilia bao la kusawazisha
Lakini mawazo hayo yalifutika baada ya kipindi cha pili,kwani  Mesut Özi alipachika bao la kuongoza katika dakika ya 80
bao la kusawazisha la Everton lilifungwa na Gerard Deulofeu katika dakika ya 89.
Heshima: Wachezaji wa Arsenal na Everton wote kwa pamoja wakikaa kimya kwa muda kwa ajili ya kuomboleza kifo cha  Nelson Mandela, anayeonekana katika screen kubwa
Wakongwe:Thierry Henry (kushoto) na Edgar Davids wakiwa katika uwanja wa Emirates mapema kabla ya mchezo wakibadilishana utani


Arsenal bejiArsenal: Szczesny, Jenkinson, Mertesacker, Koscielny, Gibbs, Arteta, Wilshere (Rosicky 68), Ramsey (Flamini 68), Ozil, Cazorla (Walcott 68), Giroud.
Subs: Vermaelen, Monreal, Fabianski, Bendtner.
Goal: Ozil 80.
Everton bejiEverton: Howard, Coleman, Jagielka, Distin, Oviedo, McCarthy, Barry, Mirallas (Deulofeu 79), Barkley (Naismith 90+3), Pienaar (Osman 71), Lukaku. Subs: Robles, Heitinga, Jelavic, Stones.
Goal: Deulofeu 84.
Booked: Barry, McCarthy, Howard, Deulofeu.
Referee: Howard Webb (S Yorkshire)






 
Played
December 8, 2013 1:30 PM GMT
Craven Cottage — London
Referee:‬ M. Dean‎
Attendance:‬ 22288‎
 
 
30′ (PG) Dimitar Berbatov
 
 
 
CagliariCagliari  2 vs 1  Genoa Genoa
Played
December 8, 2013 2:00 PM GMT
Stadio Sant'Elia — Cagliari
Referee:‬ P. Giacomelli‎
Attendance:‬ 6500‎
 
76′ Marco Sau
                                           Alberto Gilardino 16′
90+3′ Marco Sau
  
 
taly - Serie A
 
Played
December 8, 2013 2:00 PM GMT
Stadio Marc'Antonio Bentegodi — Verona
Referee:‬ A. De Marco‎
Attendance:‬ 20000‎
 
82′ Juanito
                                                  Germán Denis 42′
87′ (PG) Jorginho
 
 
 
Played
December 8, 2013 2:00 PM GMT
Stadio Comunale Luigi Ferraris — Genova
Referee:‬ D. Celi‎
Attendance:‬ 23000‎
 
54′ Eder
 
 
 
Played
December 8, 2013 2:00 PM GMT
Stadio Città del Tricolore — Reggio Emilia
Referee:‬ D. Massa‎
Attendance:‬ 12000‎
 
 
                                      Cyril Thereau 55′
 
 
Torino Torino  1 vs 0  Lazio Lazio
Played
December 8, 2013 2:00 PM GMT
Stadio Olimpico di Torino — Torino
Referee:‬ P. Tagliavento‎
Attendance:‬ 16000‎
 
19′ Kamil Glik

 
Played
December 8, 2013 2:30 PM GMT
MAGE SOLAR Stadion — Freiburg im Breisgau
Referee:‬ K. Kircher‎
Attendance:‬ 22800‎
 
 
                                                    Maximilian Arnold 8′
 
                                                        Ivica Olic 11′
 
                                                     Marcel Schäfer 90+1′


 
Played
December 8, 2013 4:30 PM GMT
Eintracht-Stadion — Braunschweig
Referee:‬ T. Kinhöfer‎
Attendance:‬ 23100‎
 
 
                                                       Adrian Ramos 20′
 
                                                       Tolga Cigerci 80′
 
 
Played
December 8, 2013 1:00 PM GMT
Stade Jacques Chaban-Delmas — Bordeaux
Referee:‬ N. Rainville‎
Attendance:‬ 18740‎
 
 
 
 
Played
December 8, 2013 4:00 PM GMT
Stade Armand Césari — Furiani
Referee:‬ B. Varela‎
 
                                                 Alexandre Lacazette 54′
 
                                                     Yassine Benzia 56′
 
                                                 Bafetimbi Gomis 85′


 
Toulouse FCToulouse FC  1   vs Montpellier HSC Montpellier HSC
Played
December 8, 2013 4:00 PM GMT
Stadium Municipal — Toulouse
Referee:‬ B. Bastien‎
 
72′ A. Aguilar
                                                   Souleymane Camara 19′

Post a Comment

0 Comments