Ticker

6/recent/ticker-posts

AUDIO/PICHA:TFF IMETHIBITISHA WACHEZAJI HAWA WA YANGA KUTUMIKA KOMBE LA SHIRIKISHO

 Mhariri:Herman Kihwili. IMEWEKWA.Jun 16,2016 SAA 01:01 USIKU 

Shirikisho la Soka Afrika (CAF), limepitisha majina ya wachezaji wanne wapya wa Yanga, kipa Benno David
Kakolanya, Hassan Hamisi Ramadhan ‘Kessy’, Vincent Andrew Chikupe na Juma Hassan Mahadhi kucheza Kombe la Shirikisho





Ofsa habari wa TFF,Alfred Lucas amesema kwamba shirikisho hilo limepokea majibu kutoka CAF,likiwaruhusu wachezaji hao kuanza kuitumikia timu ya Yanga katika michuano hiyo ya pili kwa ukubwa kwa ngazi ya vilabu barani Africa

SIKILIZA HAPA

KKWA TAARIFA,BREAKING NEWS,RATIBA PAMOJA NA MATOKEO YA MECHI MBALIMBALI,LIKE PAGE YA FACEBOOK  BONYEZA HAPA (Jamii na Michezo) .

Post a Comment

0 Comments