Ticker

6/recent/ticker-posts

JAMII NA MICHEZO YAWATAKIA MFUNGO MWEMA WAISLAMU

Mhariri:Herman Kihwili. IMEWEKWA.Jun 6,2016 SAA 12:30 JIONI

Blog ya Jamii na Michezo anawatakia kila la kheri Waislamu wote nchini katika kipindi cha Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa
Ramadhani unaoanza sasa.

Blog ya Jamii na Michezo inawataka Watanzania kuendeleza tunu za amani na utulivu ili kushiriki katika ibada kama inavyostahili. Kufanikiwa Kwa Waislamu katika ibada hiyo ni chachu ya mafanikio ya kila sekta na hasa ya Jamii Pamoja na Michezo pia ambayo hupendwa na mashabiki wengi wa ndani na nje ya nchi.

KWA TAARIFA,BREAKING NEWS,RATIBA PAMOJA NA MATOKEO YA MECHI MBALIMBALI,LIKE PAGE YA FACEBOOK  BONYEZA HAPA (Jamii na Michezo) . 

Post a Comment

0 Comments