Hicho kinakuwa kipigo cha pili mfululizo kwa Yanga, baada ya Juni 19 kufungwa pia 1-0 na wenyeji MO Bejaia 1-0 nchini Algeria.
Bao la Tp Mazembe hii leo limefungwa na Mereveille Boppe aliyemalizia mpira wa adhabu uliopigwa na beki Chrtistian Luyindama dakika ya 74.
Baada ya mchezo huo mchezaji wa Tp Mazembe Thomas Ulimwengu ambaye ni raia wa Tanzania toa neno kwa wachezaji wanaocheza nchini.
Lakini Pia Kipa wa Tp Mazembea anayefahamika kwa aina yake ya ushangiliaji pale wanaposhinda goli Robert Kidiaba ambaye alikuwa benchi katika mchezo huo, ametoa neno kwa timu ya Yanga.
SIKILIZA HAPA
0 Comments