Ticker

6/recent/ticker-posts

RASMI:JOSE MOURINHO ASAINI MKATABA NA MANCHESTER UNITED

Mhariri:Herman Kihwili. IMEWEKWA.May.27,2016 SAA 04:02 USIKU


Jose Mourinho amesaini mkataba wake wa kuwa kocha mpya wa Manchester United.

Kocha huyo Raia wa Ureno aliondoka nyumbani majira ya saa 2:50 mchana siku ya Alhamisi na alihitimisha kufanya mazungumzo katika hoteli kuu ya London, amekubaliana na kuendeleza yale ya Louis van Gaal kama bosi mpya wa Old Trafford.



Tangazo rasmi kutoka klabu linatarajiwa kutoka siku ya Ijumaa.
Mourinho put pen to paper at a central London hotel
Chanzo cha habari cha Sky Sports News HQ kilitoa habari hizo za mapema kabisa 05:20 jioni baada ya Mourinho kurudi nyumbani nusu saa mapema na nyaraka katika mkono wake na chupa ya mvinyo mwekundu, baada ya kukutana na mtendaji na makamu mwenyekiti wa United Ed Woodward kukamilisha mpango huo.

Mourinho, ambaye amekuwa nje ya kazi tangu alipotimuliwa na Chelsea mwezi Desemba , anachukuwa nafasi mshauri wake wa zamani Van Gaal, ambaye amefukuzwa kazi na United siku mbili baada ya kushinda Kombe la FA dhidi ya Crystal Palace katika uwanja wa Wembley.

KWA TAARIFA,BREAKING NEWS,RATIBA PAMOJA NA MATOKEO YA MECHI MBALIMBALI,LIKE PAGE YA FACEBOOK  BONYEZA HAPA (Jamii na Michezo) .

Post a Comment

0 Comments