Ticker

6/recent/ticker-posts

PICHA:STARS ILIVYOTOKA SARE NA HARAMBEE

Mhariri:Herman Kihwili. IMEWEKWA.May.30,2016 SAA 11:40 JIONI

Siku ya Jana Jumapili Taifa Stars, ilikuwa na mchezo wa kirafiki wa Kimataifa uliofanyika Uwanja wa Moi Kasarani,
Nairobi Kenya. timu hizo zilitosahana nguvu kwa kutoka sara ya 1-1.
Mshambuliaji wa Taifa Stars, Elias Maguli (Kulia) akichuana na David Odhiambo wakati wa mchezo wa kirafiki wa Kimataifa uliofanyika Uwanja wa Moi Kasarani, Nairobi Kenya. timu hizo zilitosahana nguvu kwa kutoka sara ya 1-1.
Kikosi cha kwanza cha timu ya Soka ya Tanzania -Taifa Stars kilichoanza dhidi ya Harambee Stars ya Kenya Jumapili.

Winga wa Taifa Stars, Shiza Ramadhani akichuana na beki Joakins Atudo wa Harambee Stars katika mchezo huo.  
KWA TAARIFA,BREAKING NEWS,RATIBA PAMOJA NA MATOKEO YA MECHI MBALIMBALI,LIKE PAGE YA FACEBOOK  BONYEZA HAPA (Jamii na Michezo) .

Post a Comment

0 Comments