Ticker

6/recent/ticker-posts

PICHA 19:MASHABIKI WA YANGA SC WAFUNGA BARABARA KWA MAPOKEZI

 Mhariri:Herman Kihwili. IMEWEKWA.May.20,2016 SAA 03:59 USIKU
Kundi kubwa la mashabiki wa klabu ya Young Africans, Ijumaa ya tarehe 20 May 2016 lilifika uwanja wa ndege wa kimataifa wa
Mwalimu Nyerere, kwa ajili ya kukikopokea kikosi chao kikitokea nchini Angola kupitia Afrika kusini.

Mashabiki wa Young Africans walifika uwanjani hapo na kukatiza mitaa kadhaa ya jiji la Dar es salaam,wakiwa na furaha, Nderemo na Bashasha kufuatia kikosi chao kufanikisha azma ya kusonga mbele kwenye michuano ya kombe la shirikisho, licha ya kufungwa bao moja kwa sifuri dhidi ya G.D. Sagrada Esperança.

ANGALIA PICHA




















KWA TAARIFA,BREAKING NEWS,RATIBA PAMOJA NA MATOKEO YA MECHI MBALIMBALI,LIKE PAGE YA FACEBOOK  BONYEZA HAPA (Jamii na Michezo) .

Post a Comment

0 Comments