Kiungo kutoka nchini Rwanda Haruna Niyonzima, hii leo amerejea kwenye mazoezi ya kikosi cha klabu ya Dar es salaam Young Africans ikiwa ni
baada ya siku tano, baada ya kuomba radhi kufutia kosa ya utovu wa nidhamu ambalo lilipelekea taarifa za kuvunjwa kwa mkataba wake.
Niyonzima amesema amajihisi furaha kurejea mazoezini na kujiunga na wachezaji wenzake ambao wameonyesha kumpokea kwa mikono miwiwli.
MSIKILIE HAPA NIYONZIMA
AAmesema kurejea kwake kunaashiria kuna jambo Fulani litakua limeongezeka katika kikosi cha Dar es salaam Young Africans, japo maamuzi ya mwisho yapo kwatika benchi la ufundi ambalo linaongozwa na Han Van Pluijm.
KWA TAARIFA,BREAKING NEWS,RATIBA PAMOJA NA MATOKEO YA MECHI MBALIMBALI,LIKE PAGE YA FACEBOOK BONYEZA HAPA (Jamii na Michezo) .
0 Comments