washindi wa Bahati nasibu iliyofanyika katika siku ya simba Day.
Raisi wa Simba Evans Aveva ndiye aliyekabidhi Zawadi hizo ambapo pia imekabizi mipira kwa shule kadhaa jijini Dar es salaam kwa lengo la kukuza soka kwa vijana wadogo.
![]() |
| Mwandishi wa Mtandao wa millardayo.com Rama Mwelondo akipokea mpira kutoka kwa Rais wa Simba baada ya kushinda bahati nasibu iliyochezeshwa ikishirikisha wanahabari |
Simba Sc pia imekabizi mipira kwa shule kadhaa jijini Dar es salaam kwa lengo la kukuza soka kwa vijana wadogo.![]() |
| Mwandishi wa mtandao wa Shaffihdauda.com Dickson Masanja (kushoto) akipokea mpira kutoka kwa Rais wa Simba baada ya kushinda bahati nasibu iliyochezeshwa ikishirikisha wanahabari |
Katika Hatua Nyingine klabu ya Simba imetangaza vita kuanzai siku ya jumamosi kwa wale wote wanaouza jezi ambazo si halali za Klabu hiyo.
KWA TAARIFA,BREAKING NEWS,RATIBA PAMOJA NA MATOKEO YA MECHI MBALIMBALI,LIKE PAGE YA FACEBOOK BONYEZA HAPA (Jamii na Michezo)







0 Comments