Ticker

6/recent/ticker-posts

AUDIO:NADIR HAROUB "CANAVARO" AIZUNGUMZIA NIGERIA PAMOJA NA KUKOSA KWAKE PENALTI TENA..msikilize...

Mhariri:Herman Kihwili. IMEWEKWA.AUG.24,2015 SAA 09:52 ALASIRI

Nahodha wa kalbu ya Yanga na Timu ya Taifa ya Tanzania Nadir Haroub 'Canavaro' amezungumza na Jamii na Michezo kuhusu
tukio lililojitokeza kwake la kukosa penalti katika mchezo wa Ngao jamii dhidi ya Azam Fc.

Pia Nadir Haroub 'Canavaro' pia amezungumza juu ya timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) ambayo itacheza na Nigeria Septemba 05, 2015.

MSIKILIZE NADIR HAROUB CANAVARO

Post a Comment

0 Comments