Ticker

6/recent/ticker-posts

KIONGERA WA SIMBA AFANYIWA VIPIMO DAR,DAKTARI ASEMA ATAJIUNGA NA TIMU BAADA YA...

Mhariri:Herman Kihwili. IMEWEKWA.Jun 24,2015 SAA 01:28 USIKU
Mchezaji wa Simba kwenye safu ya ushambuliaji Raphael Kiongera amewasili Dar es salaam jana usiku saa mbili
kutokea nchini Kenya kwa ajili ya kufanyiwa vipimo vya afya.

Taarifa kutoka Tovuti Rasmi ya Simba inasema Vipimo hivyo vya afya vilifanyika leo saa tano asubuhi na baada ya vipimo Daktari wa timu alishauri Kiongera kupewa mapumziko ya mwezi mmoja kabla ya kujiunga na timu rasmi.


KWA TAARIFA,BREAKING NEWS,RATIBA PAMOJA NA MATOKEO YA MECHI MBALIMBALI,LIKE PAGE YA FACEBOOK  BONYEZA HAPA (Jamii na Michezo)

Post a Comment

0 Comments