Mshambuliaji nyota wa TP Mazembe, Mtanzania, Mbwana Samatta amesema atarejea na kucheza mpira katika klabu
za nchini labda baada ya miaka 20 ijayo.
za nchini labda baada ya miaka 20 ijayo.
Samatta amesema angependelea kuendelea mbele zaidi kisoka katika nchi nyingine za Afrika au Ulaya, halafu kama ni nyumbani Tanzania, atarejea baada ya miaka 20.
Samatta pia ameelezea safari yake ya majaribio katika klabu ya Urusi ya CSKA MOSCOW
SIKILIZA HAPO CHINI
0 Comments