Beki wa Liverpool Mamadou Sakho atakuwa nje ya uwanja kwa muda wa wiki nane baada ya kuumia goti siku ya
Jumapili katika mchezo wa Ligi Kuu ambao timu yake ilipoteza ikiwa nyumbani kwa mabao 2-1 dhidi ya Crystal Palace.
Awali Klabu iliogopa kutokana na maumivu aliyoyaonesha Sakho alipokuwa analia wakati akitoka uwanjani, lakini vipimo vya siku ya jana Jumatatu vinaonesha kwamba, msimu wa mchezaji huyo wa Ufaransa mwenye umri wa miaka 25,unaweza kuwa hatarini.
Hata hivyo, maumivu makubwa ya goti kwa mchezaji huyo,yataweza kumuweka pembeni Sakho na kuwa busy na Krismasi pamoja na Mwaka Mpya.
KWA TAARIFA,BREAKING NEWS,RATIBA PAMOJA NA MATOKEO YA MECHI MBALIMBALI,LIKE PAGE YA FACEBOOK BONYEZA HAPA (Jamii na Michezo) .
0 Comments