Ticker

6/recent/ticker-posts

AUDIO:SIKILIZA ALICHOKIJIBU IVO MAPUNDA BAADA YA TIMU PINZANI KUMTUHUMU KUWA ANACHELEWESHA MUDA KWA KUJIANGUSHA

Mhariri:Herman Kihwili. IMEWEKWA.May .4,2015 SAA 5:37 USIKU
Timu ya simba siku Jumapili tarehe 3 May 2015 illbuka na ushindi wa mabao 2 - 1dhidi ya Timu ya Azam Fc katika mchezo wa Ligi
kuu Tanzania Bara,mchezo uliopigwa katika uwanja wa Taifa Jijini Dar es salaam.


Katika mchezo huo Goli kipa namba 1 wa timu ya Simba Ivo Mapunda mara kwa mara alionekana kuanguka,kitendo kilichowakasilisha mashabiki wa timu pinzania wakisema kuwa  anapoteza muda kwa kujiangusha makusudi.

Jamii na Michezo imemtafuta Ivo Mapunda na kuongea naye juu ya aina yake hiyo ya uchezaji,lakini kwanza Ivo Mapunda akielezea matokeo waliyoyapata katika mchezo huo.

BONYEZA PLAY KUMSIKILIZA IVO MAPUNDA


 KWA TAARIFA,BREAKING NEWS,RATIBA PAMOJA NA MATOKEO YA MECHI MBALIMBALI,LIKE PAGE YA FACEBOOK  BONYEZA HAPA (Jamii na Michezo) .

Post a Comment

0 Comments