Ticker

6/recent/ticker-posts

PICHA:ANGALIA PICHA SIMBA NA AZAM FC UWANJA WA TAIFA

Mhariri:Herman Kihwili. IMEWEKWA.May .5,2015 SAA 9:17 USIKU

Timu ya simba siku Jumapili tarehe 3 May 2015 illbuka na ushindi wa mabao 2 - 1dhidi ya Timu ya Azam Fc katika
mchezo wa Ligi kuu Tanzania Bara,mchezo uliopigwa katika uwanja wa Taifa Jijini Dar es salaam.

Katika Mchezo huo Azam FC ilipata pigo kwa mchezaji wake Salum Abubakari ‘Sure Boy’ kulambwa kadi nyekundu kwa kumkanyaga Mohammed Hussein.



Katika mechi hiyo Simba ilifanikiwa kupata bao lake la kwanza kupitia Ibrahim Ajibu, lakini Azam FC wakasawazisha mapema katika kipindi cha pili kupitia Mudathir Yahaya.

Ramadhani Singano ‘Messi’ alifunga bao kwa mkwaju aliouchonga kutoka nje ya 18.


ANGALIA PICHA ZA MCHEZO

































KWA TAARIFA,BREAKING NEWS,RATIBA PAMOJA NA MATOKEO YA MECHI MBALIMBALI,LIKE PAGE YA FACEBOOK  BONYEZA HAPA (Jamii na Michezo) .

Post a Comment

0 Comments