Ticker

6/recent/ticker-posts

JOSE MOURINHO AJIULIZA MASWALI KWA MWAMUZI ALIYEMPA KADI NYEKUNDU CESC FABREGAS

Mhariri:Herman Kihwili. IMEWEKWA.May .19,2015 SAA 06:54 USIKU
John Terry looks on with astonishment as Cesc Fabregas is show the red card by referee Mike Jones for kicking the ball at Chris Brunt
Meneja wa Chelsea Jose Mourinho amemkosoa mwamuzi Mike Jones kwa ajili ya kumtoa nje kwa kadi nyekundu Cesc Fabregas,
akisema mwamuzi huyo angeweza kutatua swala hilo kwa "kwa maneno tu",yaani kumuonya.

katika mchezo huo wa Ligi kuu ya England jana Usiku MABINGWA Chelsea walifungwa mabao 3-0 na West Bromwich Albion  huku Fabregas akitolewa nje kwa kumpiga na mpira kichwani kiungo wa West Brom Chris Brunt wakati refa akiwa amesimamisha mchezo,pale  mwamuzi huyo alipokuwa akijaribu kuzuia ugomvi kati ya Diego Costa na Gareth McAuley.

The ball strikes Brunt on the side of the head after Fabregas kicked towards the group of West Brom players and the referee
Chelsea's Spain midfielder kicked the ball from the other side of the penalty area and it hit Brunt with unerring accuracy
{Jose Mourinho amesema hakushangazwa na uchezaji wa Chelsea kwani wao tayari walikuwa mabingwa.}
"Pamoja kuwa  na waamuzi wenye uzoefu, imara, wakubwa , katika udhibiti wa mchezo, nadhani [wangetumia] maneno," alisema.
 
"Hasa katika mchezo ambapo tunacheza kwa kutopoteza chochote, na ukiwa hauna umuhimu, ulikuwa ni mpira ambao ilikuwa bila uchokozi wowote, nadhani kama moja wa waamuzi wakubwa angetatua tatizo kwa maneno".
 
"Lakini mwamuzi Michael aliamua kumtoa kwa kadi nyekundu, ambayo Sikubaliani nayo kabisa, lakini yeye ni mwamuzi."

Jose Mourinho and Tony Pulis share a joke before kick-off ahead of a match that had little riding on it for either manager
Jose Mourinho and Tony Pulis share a joke before kick-off ahead of a match that had little riding on it for either manager
Chelsea manager Jose Mourinho has a kick about with a young West Brom mascot as the teams warm up at the Hawthorns
Chelsea manager Jose Mourinho has a kick about with a young West Brom mascot as the teams warm up at the Hawthorns
A dejected Fabregas trudges off the pitch after being given his marching orders following the controversial red card
A dejected Fabregas trudges off the pitch after being given his marching orders following the controversial red card
The red card incident followed a row between Gareth McAuley and Diego Costa resulting in a melee between both sets of players
The red card incident followed a row between Gareth McAuley and Diego Costa resulting in a melee between both sets of players
Costa and McAuley argue following an altercation between the Chelsea striker and the West Brom defender
Costa and McAuley argue following an altercation between the Chelsea striker and the West Brom defender

Katika mchezo huo  Saido Berahino alifunga bao la kwanza dakika ya tisa ya mchezo. Berahino akafunga tena bao la pili dakika ya 47 kwa penalti baada ya yeye mwenyewe kuchezewa rafu na John Terry.

Chris Brunt akaongeza shangwe za mashabiki wao wa West Brom waliokuwa nyumbani baada ya kufunga bao la tatu dakika ya 60. 

Mchezo huo haukuwa na umuhimu kwa timu yoyote, Chelsea ikiwa tayari bingwa na West Brom imejihakikishia kubaki Ligi Kuu. 

KWA TAARIFA,BREAKING NEWS,RATIBA PAMOJA NA MATOKEO YA MECHI MBALIMBALI,LIKE PAGE YA FACEBOOK  BONYEZA HAPA (Jamii na Michezo) 

Post a Comment

0 Comments