Ticker

6/recent/ticker-posts

PICHA:KATIKA PICHA SIMBA NA NDANDA TAIFA JUMAMOSI

Mhariri:Herman Kihwili. IMEWEKWA.APRIL .27,2015 SAA 09:10 ALASIRI

Siku ya Jumamosi ya tarehe 25 timu ya Simba ilichomoka na ushindi wa mabao 3 - 0 dhidi ya timu ya Ndanda Fc kutoka
Mtwara,katika mchezo wa Ligi kuu Tanzania Bara,mchezo uliopigwa katika dimba la uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam.
Kikosi cha Simba Sc kilichoanza

Kikosi cha Ndanda Fc Kilichoanza

Katika mchezo huo mabao ya Simba Sc yalifungwa na Jonas Mkude dakika ya 8 ya mchezo huo.

Dakika ya 12 Simba ilikosa penalti iliyopigwa na Ibrahim Ajib,penalti hiyo ilitokana na Okwi kuangushwa na mchezaji wa Ndanda katika eneo la Hatari.

Dakika ya 15 ya mchezo huo Ramadhani Sindano aliipatia Simba sc  bao la pili,na bao la tatu la Simba lilipatikana katika dakika ya 21 na alifunga Said Ndemla.

ANGALIA PICHA ZA MCHEZO HUO




































KWA TAARIFA,BREAKING NEWS,RATIBA PAMOJA NA MATOKEO YA MECHI MBALIMBALI,LIKE PAGE YA FACEBOOK  BONYEZA HAPA (Jamii na Michezo) .

Post a Comment

0 Comments