Ticker

6/recent/ticker-posts

PICHA:ANGALIA WAIMBAJI MBALIMBALI WAKIMSIFU MUNGU KATIKA TAMASHA LA PASAKA

Mhariri:Herman Kihwili. IMEWEKWA.APRIL .18,2015 SAA 02:55 USIKU


Tamasha la Pasaka ni Tamasha linalowakutanisha wakristo na waumini wa dini nyingine pia,katika kusherehekea sikukuu ya
kufufuna na kupaa kwa Yesu kristo.



Tamasha la mwaka huu la Pasaka lilikuwa ni kazimisha miaka 15 ya tamasha hilo linaloandaliwa na kampuni ya Msama Promotion na lilifanyika katika uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam siku ya tarehe 5 Apri.2015.

Waimbaji mbalimbali kutoka Tanzani na nje ya mipaka ya Tanzania walipata nafasi ya kumsifu mungu kwa njia ya Uimbaji

ANGALIA PICHA ZA TAMASHA HILO






















KWA TAARIFA,BREAKING NEWS,RATIBA PAMOJA NA MATOKEO YA MECHI MBALIMBALI,LIKE PAGE YA FACEBOOK  BONYEZA HAPA (Jamii na Michezo) .

Post a Comment

0 Comments