Ticker

6/recent/ticker-posts

AUDIO: DEOGRATIUS MUNISH "DIDA" AZUNGUMZIA HALI YA KUKAA BECHI


Mhariri:Herman Kihwili. IMEWEKWA.APRIL .18,2015 SAA 02:45 USIKU

Mechi  kati ya Yanga dhidi Stand United kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar iliyomalizika kwa Yanga kuibuka na ushindi wa mabao 3
- 2,ameshudiwa kipa Deogratius Munish ‘Dida’ kuanza baada ya Kocha Mkuu wa Yanga, Hans van der Pluijm kuamua kumpumzisha kipa  Ally Mustapha ‘Barthez’.

Dida amekuwa akisubiri katika benchi kwa muda mrefu sasa na leo alikuwa na kazi ya ziada ya kumshawishi Pluijm ili aweze kumpa nafasi nyingine tena.
Deogratius Munish ‘Dida’

Jamii na Michezo imefanya mahojiano maalumu na Kipa huyo Deogratius Munish ‘Dida’,ili kuweza kufahamu hali ya kukaa bechi kwa muda mrefu anaichukuliaje?

MSIKILIZE ZAIDI DEOGRATIUS MUNISH "DIDA"


 KWA TAARIFA,BREAKING NEWS,RATIBA PAMOJA NA MATOKEO YA MECHI MBALIMBALI,LIKE PAGE YA FACEBOOK  BONYEZA HAPA (Jamii na Michezo) .

Post a Comment

0 Comments