Ticker

6/recent/ticker-posts

LICHA YA KICHAPO KUTOKA KWA CRYSTAL PALECE,KOCHA WA MAN CITY AMEYASEMA MANENO HAYA

Mhariri:Herman Kihwili. IMEWEKWA.APRIL .7,2015 SAA 06:15 USIKU

Usiku wa jana kulikuwa na mchezo mmoja wa ligi kuu ya England ambapo klabu ya Manchester City imepokea
kichapo cha mabao 2-1 kutoka katika klabu ya Crystal Palace.

Lakini licha ya kichapo hiko, Kocha wa Manchester City Manuel Pellegrini anasema kuwa yeye alifurahishwa na utendaji kazi wa klabu yake licha ya kufungwa, mabao hayo 2-1 na klabu ya Crystal Palace.

Pellegrini ambaye siku ya jumapili atakuwa na mchezo muhimu wa Manchester derby, atapokwenda Old Trafford kucheza na manchester United,ameomba radhi kwa matokeo ya mchezo huo,lakini amekiri, kupoteza nafasi nyingi za mabao.
Manuel Pellegrini hailed timu yake & # 8217; s kuonyesha katika wao mabao 2-1 kwa Crystal Palace

"Tulikuwa na nafasi nyingi na tulikosa mabao zaidi,lakini naomba radhi sana kwa jinsi timu yangu ilivyocheza kwa sababu nadhani sisi tucheza vizuri,"

" Si zungumzii juu ya taji, sisi tunataka kushinda michezo yetu  tu . Kila wakati (tunashuka) pointi, ni pigo kubwa. Mwishoni mwa msimu, kila hatua ambayo unapoteza ni gharama kubwa".

"Michezo saba ijayo ni muhimu sana - pointi 21, Kwa kawaida mabingwa katika ligi,kuna kuwa na tofauti ya pointi moja au pointi mbili tu (dhidi ya timu ya pili) , hivyo tunapaswa kuendelea kushinda pointi nyingi kama tunaweza".

 "Na rudia, sisi tunafikiri juu ya nini tunaweza kufanya  tu, na kujaribu kushinda michezo yetu na mwishoni mwa msimu tutaona tulipo katika msimbamo wa ligi."


Mabao ya Crystal Palace kutoka kwa wachezaji wake  Glenn Murray kipindi cha kwanza na Jason Puncheon kipindi cha pili,yaliizamisha jahazi la  Manchester City,licha ya bao la kufutia machozi kutoka kwa  Yaya Toure dakika ya 78.



English Barclays Premier League | LOGS

PosTeamPWDLGFGAGDPts
1Chelsea30217263263770
2Arsenal31196662323063
3Manchester United31188555282762
4Manchester City31187663303361
5Liverpool3116694536954
6Tottenham Hotspur3116695045554
7Southampton311651042222053
8Swansea City31137113739-246
9West Ham United31119114139242
10Stoke City31126133539-442
11Crystal Palace31109123842-439
12Everton31910123942-337
13Newcastle United3198143349-1635
14West Bromwich Albion3189142843-1533
15Sunderland31514122444-2029
16Hull City31610152943-1428
17Aston Villa3177172042-2228
18Burnley31511152649-2326
19Queens Park Rangers3174203555-2025
20Leicester City3057182949-2022


KWA TAARIFA,BREAKING NEWS,RATIBA PAMOJA NA MATOKEO YA MECHI MBALIMBALI,LIKE PAGE YA FACEBOOK  BONYEZA HAPA (Jamii na Michezo) .

Post a Comment

0 Comments