1.Ni Miaka 43 tangu kitokee kifo za Rais wa Kwanza wa Zanzibar,Abeid Aman Karume, katika swala zima la michezo
anaenziwa vipi? msikilize Mama Fatma Karume akikumbusha Historia Kidogo ya kiongozi huyo,husasani katika vilabu vya Simba na Yanga.
anaenziwa vipi? msikilize Mama Fatma Karume akikumbusha Historia Kidogo ya kiongozi huyo,husasani katika vilabu vya Simba na Yanga.
2.Ligi kuu Tanzania bara inaendelea siku ya Jumatano,Coastal Unioni chini ya Kocha Jamuhuli Kihwelo inakutana na Yanga,sikiliza walichokisema kuelekea katika mchezo huo.
3.Pia kuna Taarifa kuhusiana na kocha wa Zamani wa Polisi morogoro Adof Richard ambaye amekabidhiwa timu ya Taifa ya vijana (U-15)
4.Ni habari za michezo za kimatafa,baada ya kichapo kutoka kwa Crystal Palece,kocha wa Manchester City Manuel Pellegrini amezungumza.
SIKILIZA TAARIFA ZOTE
KWA TAARIFA,BREAKING NEWS,RATIBA PAMOJA NA MATOKEO YA MECHI MBALIMBALI,LIKE PAGE YA FACEBOOK BONYEZA HAPA (Jamii na Michezo) .

0 Comments