Ticker

6/recent/ticker-posts

ANGALIA RATIBA YA LIGI YA WANAWAKE MKOA WA DAR ES SALAAM

Mhariri:Herman Kihwili. IMEWEKWA.APRIL .17,2015 SAA 10:50 JIONI

Michuano ya soka kwa ligi ya wanawake mkoa wa Dar es salaam inaanza kutimua vumbi jumapili hii ya April
19/2015,kwa vilabu mbalimbali kuchuana vikali kuuwania ubingwa huo.

Kwa mujibu wa kamati ya mashindano ya chama cha soka mkoa wa Dar es salaam DRFA,maandalizi kuelekea michuano hiyo yamekamilika ikiwa ni pamoja na viongozi wa vilabu husika kupewa kanuni na taratibu zitakazotumika katika mashindano.

Jumla ya vilabu vinane (8) vitashiriki katika ligi hiyo ya wanawake,ambavyo ni SIMBA QUEENS,REAL TANZANITE,TEMEKE SQUAD,EVER-GREEN QUEENS,JKT QUEENS,LULU QUEENS,MBURAHATI QUEENS na UZURI QUEENS.
Mechi ya ufunguzi itazikutanisha timu za Temeke Squad dhidi ya Ever-Green Queens,itakayopigwa katika uwanja wa Mwalimu Nyerere Kinondoni jijini Dar es salaam Jumapili ya April 19.



 RATIBA HAPO CHINI
RATIBA::::
19.04.20151TEMEKE SQUADVsEVER-GREEN QUEENBANDARI/KARUMETEMEKE/ILALA
20.04.20152JKT QUEENSVsLULU QUEENSMWALIMU NYEREREKINONDONI
21.04.20153UZURI QUEENVsMBURAHATI QUEENMWALIMU NYEREREKINONDONI
22.04.20154SIMBA QUEENSVsREAL TANZANITEKARUMEILALA
23.04.20155UZURI QUEENVsJKT QUEENSMWALIMU NYEREREKINONDONI
24.04.20156MBURAHATI QUEENVsLULU QUEENSMWALIMU NYEREREKINONDONI
25.04.20157SIMBA QUEENSVsTEMEKE QUEENSKARUMEILALA
26.04.20158REAL TANZANITEVsEVER-GREEN QUEENKARUMEILALA
27.04.20159LULU QUEENSVsUZURI QUEENSMWALIMU NYEREREKINONDONI
28.04.201510MBURAHATI QUEENVsJKT QUEENSKARUMEILALA
29.04.201511EVER-GREEN QUEENSVSSIMBA QUEENSKARUMEILALA
30.04.201512TEMEKE SQUADVSREAL TANZANITEKARUMEILALA
01.05.201513EVER-GREEN QUEENSVSMBURAHATI QUEENKARUMEILALA
02.05 201514JKT QUEENSVSREAL TANZANITEMWALIMU NYEREREKINONDONI
03.05.201515SIMBA QUEENSVsLULU QUEENSKARUMEILALA
04.05.201516UZURI QUEENVsTEMEKE QUEENSKARUMEILALA
07.05.201517LULU QUEENSVsEVER-GREEN QUEENKARUME ILALA
08.05.201518JKT QUEENSVsSIMBA QUEENSKARUMEILALA
09.05.201519MBURAHATI QUEENVsTEMEKE QUEENSKARUMEILALA
10.05.201520REAL TANZANITEVsUZURI QUEENSMWALIMU NYEREREKINONDONI

KWA TAARIFA,BREAKING NEWS,RATIBA PAMOJA NA MATOKEO YA MECHI MBALIMBALI,LIKE PAGE YA FACEBOOK  BONYEZA HAPA (Jamii na Michezo) .


Post a Comment

0 Comments