Ticker

6/recent/ticker-posts

SOMA ALICHOKISEMA ROONEY,BAADA YA KUANZASHWA PAMOJA KWA MARA YA KWANZA NA HARRY KANE

Mhariri:Herman Kihwili IMEWEKWA.March.31,2015 SAA 07:12 USIKU
England captain Wayne Rooney is replaced by Harry Kane in the 4-0 win over Lithuania on Friday.
Nahodha wa England Wayne Rooney ana furaha kubwa kwa kuwa  atacheza na Harry Kane katika safu ya ushambuliaji katika mchezo wa
kirafiki leo Jumanne dhidi ya Italia.
Roy Hodgson alithibitisha katika mkutano wa kabla ya mechi na vyombo vya habari,kuwa Kane mchezaji wa Tottenham Hotspur,ataanza katika kikosi cha England mjini Turin baada kufunga goli lake la kwanza akiwa chini ya sekunde 79 baada ya kuanzishwa kwake kutoka benchi dhidi ya timu ya Lithuania Ijumaa iliyopita katika dimba la Wembley.
Hodgson hakutaka kutangaza kikosi kizima cha timu yake, lakini alisema alikuwa na furaha kubwa na matarajio ya kuwa, Kane na nahodha Wayne Rooney wataanza katika mchezo huo,utakaopigwa mjini Turin.
Fastest goals on an England debut
"Ni vizuri sana kuwaona wote wawili kwenye uwanja kwa pamoja," . "Wao wamefanya mengi katika mazoezi na mimi niko radhi kuwaona wakicheza pamoja tangu mwanzo. Harry hakika anastahili nafasi yake na mimi nina angalia mbele katika mchezo".
"Tunachukulia kwa umakini sana. Ni fursa kubwa kwa wachezaji ambao walikuwa hawana nafasi katika kufuzu,kuonyesha kweli wanastahili nafasi yao katika kikosi, na kwamba wao wako vizuri vya kutosha kuchukua nafasi ya wachezaji ambao nimekuwa nikiwachagua kabla yao".alisema Hodgson 
Bobby Charlton.jpg
Sir Bobby Charlton
Kwa upande wa Rooney ambaye amebakisha mabao mawili kwa timu ya taifa kufikia rekodi ya Sir Bobby Charlton ya mabao 49, mshambuliaji huyo anasisitiza kuwa,anatumaini  Harry Kane ataendelea kuwa katika fomu nzuri kwa timu ya England,na usiku wa leo ni usiku mkubwa kwa mchezaji huyo,kwa kuanza naye mechi yake ya kwanza, na ana uhakika atafanya vizuri.

RATIBA YA LEO MECHI ZA KIMATAIFA ZA KIRAFIKI
March 31
02:30
Puerto Rico
? - ?
Canada
04:00
Jamaica
? - ?
Cuba
12:30
China
? - ?
Tunisia
13:00
Kyrgyzstan
? - ?
Afghanistan
13:25
Japan
? - ?
Uzbekistan
14:00
South Korea
? - ?
New Zealand
14:30
Singapore
? - ?
Guam
16:00
Liechtenstein
? - ?
San Marino
16:00
Tajikistan
? - ?
Syria
18:00
Iraq
? - ?
DR Congo
19:00
Estonia
? - ?
Iceland
19:00
Mauritania
? - ?
Niger
19:00
Switzerland
? - ?
USA
20:00
Russia
? - ?
Kazakhstan
20:30
Sweden
? - ?
Iran
21:00
Ukraine
? - ?
Latvia
21:15
Luxembourg
Turkey
21:30
Austria
? - ?
Bosnia-Herzegovina
21:30
Ghana
? - ?
Mali
21:30
Slovakia
? - ?
Czech Republic
21:45
Italy
? - ?
England
21:45
Netherlands
? - ?
Spain
22:45
Portugal
? - ?
Cape Verde
KWA TAARIFA,BREAKING NEWS,RATIBA PAMOJA NA MATOKEO YA MECHI MBALIMBALI,LIKE PAGE YA FACEBOOK  BONYEZA HAPA (Jamii na Michezo) .

Post a Comment

0 Comments