Mhariri:Herman KihwiliIMEWEKWA.March.31,2015 SAA 01:00 USIKU
Lionel Messi ndiye mshambuliaji bora katika mwaka 2015 -akimpiku Cristiano Ronaldo katika orodha ya washambuliaji wa nafasi za juu.
Hizi ni matokeo ya utafiti uliofanywa na CIES Football Observatoryambao wanachambua ufanisi wa uchezaji kwa wachezaji wa ligi za Ulaya,na uchambuzi huo ulifanywa tangu Januari 1 mpaka sasa.
Viwango hivyo vinazingatia takwimu muhimu kwa nyadhifa mbalimbali na kumuangukia nyota huyo wa Barcelona Messi - ambaye alifunga mabao 17 katika mechi 12 za La Liga mwaka huu - akimpiku mpinzani wake wa Real Madrid. Ronaldo, ambaye alifunga mabao sita katika mechi 11 za ligi mwaka 2015, hata hivyo akifungana na Gareth Bale na Karim Benzema.
Top forwards
Lionel Messi (Barcelona)
Arjen Robben (Bayern Munich)
Bas Dost (Wolfsburg)
Luis Suarez (Barcelona)
Diego Costa (Chelsea)
Chelsea's Eden Hazard is the top attacking-midfielder according to CIES
Top attacking midfielders
Eden Hazard (Chelsea)
Mesut Ozil (Arsenal)
Jesus Navas (Man City)
Kevin de Bruyne (Wolfsburg)
Shinji Kagawa (Dortmund)
Nuri Sahin of Borussia Dortmund leads central midfielders
Top central midfielders
Nuri Sahin (Dortmund)
Paul Pogba (Juventus)
Fernandinho (Man City)
Lucas Biglia (Lazio)
Ilkay Gundogan (Dortmund)
Manchester City's Gael Clichy is the No 1 full-back
Top full-backs
Gael Clichy (Man City)
Marcelo (Real Madrid)
Rafinha (Bayern Munich)
Wendell Nascimento (Bayer Leverkusen)
Pablo Zabaleta (Man City)
Martin Demichelis just misses out on the centre-back title
0 Comments