Ticker

6/recent/ticker-posts

AUDIO:CHAMA CHA SOKA CHA ZANZIBAR WATOA TAMKO JUU YA SEPP BLATTER

Mhariri:Herman Kihwili IMEWEKWA.APRIL .1,2015 SAA 11:00 JIONI
Jamali Malinzi (katikati) kilia ni Raisi wa chama cha mpira Zanzibar Ravia Idarous Faina
Shirikisho la soka Tanzania kupitia kwa Raisi wake Jamali Malinzi kimemuunga mkono Joseph Sepp Blatter katika uchaguzi wa Fifa.


Katika mkutano mkuu wa Caf uliofanyika Mwaka Jana Jijini Sao Paul Brazil,wanachama wote wa Caf walimuunga mkono Rais wa sasa wa Fifa anayetetea nafasi yake katika uchanguzi utakaofanyika mei mwaka huu jijini Zurich Uswisi.

Jamii na michezo imeamua kuvuka maji mpaka visiwani  Zanzibar na kukutana na raisi wa chama cha mpira visiwani humo,Ravia Idarous ambapo amezungumza juu ya ushirikishwaji wao katika katika maswala ya soka ikiwa wao wako cchini ya Tff.

MSIKILIZE



KWA TAARIFA,BREAKING NEWS,RATIBA PAMOJA NA MATOKEO YA MECHI MBALIMBALI,LIKE PAGE YA FACEBOOK  BONYEZA HAPA (Jamii na Michezo) .

Post a Comment

0 Comments