Ticker

6/recent/ticker-posts

ANGALIA KATIKA PICHA,MWANZO MPAKA MWISHO SIMBA NA YANGA TAIFA ILINYOKUWA SIKU YA JUMAPILI

Mhariri:Herman Kihwili IMEWEKWA.March.9,2015 SAA 11:30 JIONI

Jana katika mechi ya watani wa Jadi Simba na Yanga ilimalizika kwa klabu ya Wekundu wa Msimbazi Simba
kuibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya watani wao Yanga mchezo wa ligi kuu Tanzania Bara uliopigwa katika Dimba la uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.







Bao pekee la Simba lilifungwa na Emmanuel Okwi  dakika ya 7 ya kipindi cha pili,baada ya Kipindi cha kwanza kilimalizika kwa klabu hizo mbili kutofungana.















Katika mchezo huo klabu ya Yanga ilimaliza wakiwa Pungufu kwa kupata pigo baada ya Mchezaji wao Haruna Niyonzima kutolewa nje kwa kadi nyekundu kufuatia kupiga mpira kuelekea nyavuni,ikiwa refarii akiwa amepuliza kipenga.






























KWA TAARIFA,BREAKING NEWS,RATIBA PAMOJA NA MATOKEO YA MECHI MBALIMBALI,LIKE PAGE YA FACEBOOK  BONYEZA HAPA (Jamii na Michezo) .

Post a Comment

0 Comments