Ticker

6/recent/ticker-posts

PICHA:(SIMBA 1-0 YANGA)EMMANUEL OKWI AIPA RAHA SIMBA ,APIGA BAO SAFIIII

Mhariri:Herman Kihwili IMEWEKWA.March.8,2015 SAA 12:50 JIONI

Simba,Simba,Simba….Ndio wimbo ulikokuwa ukiimbwa baada ya mechi ya watani wa Jadi Simba na Yanga Kumalizika na klabu
hiyo ya Wekundu wa Msimbazi kuibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya watani wao Yanga mchezo wa ligi kuu Tanzania Bara uliopigwa katika Dimba la uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.

Bao la Simba lilifungwa na Emmanuel Okwi  dakika ya 51 kipindi cha pili,baada ya Kipindi cha kwanza kilimalizika kwa klabu hizo mbili kutofungana.

Katika kipindi cha kwanza  klabu ya Yanga wakifanya mabadiliko dakika ya 30 kwa kumtoa Danny Mrwanda na kumuingiza Huse Javu.

Ndani ya Dakika 45 za kwanza timu hizo zilicheza kwa kushambuliana huku timu zote zikicheza kwa Tahadhali,Na kwenda mapumziko pasipo kufungana.


Yanga ilimaliza wakiwa Pungufu kwa kupata pigo baada ya Mchezaji wa wake Haruna Niyonzima kutolewa nje kwa kadi nyekundu kufuatia kupiga mpira baada ya refarii kupuliza kipenga.

SIMBA SC:
1.Ivo Mapunda,2.Kessy Ramaddhani,3.Muhamed Hussein,4.Hassan Isihaka,5.Juuko Murshid,6.Adbi Banda,7.Ramadhan Singano,8.Jonas Mkude,9.Ibrahim Ajib,10.Said Ndemla,11.Emmanuel Okwi.
Substitutes:
22.Manyika Peter,13.Nassor Masoud,14.Joseph Owino,15.Simon SSerenkuma,16.Dan SSerenkuma,17.EliusMaguri,18.Awadh Juma
Technical beanch:
1.Goran Kopunovic(srb),2.Seleman Matola,3.Adam Abdallah,4.Yassin Gembe Salim Swaka,6.Ngande Ngalambe.

YOANG AFRICANS:
1.Ally Mustafa,2.Mbuyu Twite,3.Oscer Joshua,4.Nadir Haroub,5.Kelvin Yondani ,6.Said Juma,7.Saimon Msuva,8.Haruna Niyonzima,9.Amissi Tabwe,10.Mrisho Ngassa,11.Dan Mrwanda.
Substitutes:
30.Deogratius Munish,13.Rajab Zahir,14.Pato Ngonyani,15.Salum Telela,16.Said Dilunga,17.Husein  Javu,18.Kpah Sherman.
Technical beanch:
1.Hans Van Pluijn(Hol)Charles Mkwasa,3.Juma Pondamali,4.George Yomba,5.Jacob Onyango,6.Mahmoud Omary

Mach Comm:AME  SENTIMEYA
Referee:MARTIN  SAANYA(Morohoro)
1st Asst :Soud Lila (DSM)
2st Asst:Frorent Zabron (Dodoma)
4st Ass:Isarel Mjun (DSM)

KWA TAARIFA,BREAKING NEWS,RATIBA PAMOJA NA MATOKEO YA MECHI MBALIMBALI,LIKE PAGE YA FACEBOOK  BONYEZA HAPA (Jamii na Michezo) .

Post a Comment

0 Comments