Ticker

6/recent/ticker-posts

PICHA:ANGALIA SIMBA WALIVYOIANGAMIZA MTIBWA PAMOJA NA MATOKEO MENGINE NA LIGI KUU TZ BARA

Mhariri:Herman Kihwili IMEWEKWA.March.14,2015 SAA 02:48 USIKU

Ligi kuu Tanzania Bara imeendelea hii leo kwa michezo kadhaa kupigwa katika viwanja Tofauti huku macho na masikio ya watu
wengi yakiwa katika Dimba la uwanja wa Taifa katika mchezo kati ya Simba pamoja na Mtibwa Suger.






Mchezo huo umemalizika kwa matokeo ya Simba Sc kuchomoka na ushindi wa bao 1-0,Bao la Simba lilipatikana mara baada ya dakika 90 za kawaida kumalizika na Refa kuongeza Dakika za ziada,na bao hilo alifunga mshambuliaji Wa timu hiyo Emmanuel Okwi,Bao Safi nje ya 18 na Kuamsha Nderemo katika uwanja wa Taifa.

PICHA ZA MCHEZO












MATOKEO YA MICHEZO MENGINE 

FT' Prisons FC 3 - 0 Stand United
FT' Polisi Morogoro 0 - 1 JKT Ruvu



KWA TAARIFA,BREAKING NEWS,RATIBA PAMOJA NA MATOKEO YA MECHI MBALIMBALI,LIKE PAGE YA FACEBOOK  BONYEZA HAPA (Jamii na Michezo) .

Post a Comment

0 Comments