Kutoka Kushoto:Mwanasheria wa Yanga Frank Chacha,Mkuu wa kitengo cha Habari wa Yanga Jerry Muro pamoja na Mshambuliaji wa Yanga Amissi Tambwe |
waliohusika na vurugu katika mchezo huo uliochezwa tarehe 17.jan.2015 uwanja wa taifa jijini Dar es salaam.
Yanga pia imeitaka Tff kutowapanga tena kuchezesha mechi yeyote waamuzi waliochezezesha mechi hiyo.laa sivyo watagoma kucheza michezo ya Ligi kuu Tanzania,na hiyo ni baada ya Mshambuliaji wa timu hiyo Amissi Tambwe kufanyiwa vitendo vya unyanyasaji na Beki wa Ruvu
Shooting George Michael.
SOMA TAARIFA YA YANGA KUHUSU AMISSI TAMBWE
KWA TAARIFA,BREAKING NEWS,RATIBA PAMOJA NA MATOKEO YA MECHI MBALIMBALI,LIKE PAGE YA FACEBOOK BONYEZA HAPA (Jamii na Michezo) .
0 Comments