Mshambuliaji wa timu ya Yanga Amissi Tambwe siku ya jana 21 Jan.2015 alizungumzana waandishi wa habari kuhusu
kusikitishwa kwake na kitendo cha kunyanyaswa katika katika mchezo na Beki wa Ruvu Shooting George Michael katika mchezo wa ligu kuu Tanzania baada ya kukabwa na kutolewa maneno ya kibaguzi huku akikifananisha vitendo hivyo kama ni "Vita" katika Soka.
Uongozi wa klabu ya Yanga pia baada ya tukio hilo,umelitaka shirikisho la soka nchini Tanzania Kuwachukulia sheria kali wale wote waliohusika na vurugu katika mchezo huo uliochezwa tarehe 17.jan.2015 uwanja wa taifa jijini Dar es salaam,na pia yanga wameitaka Tff kutowapanga tena kuchezesha mechi yeyote waamuzi waliochezezesha mechi hiyo.laa sivyo watagoma kucheza michezo ya Ligi kuu Tanzania.
ANGALIA PICHA TANO ZIKIMUONESHA TAMBWE AKIWA NA HUZUNI JUU YA TUKIO HILO,WAKATI WA MKUTANO NA WAANDISHI WA HABARI
UNAWEZA KUMSIKILIZA AMISSI TAMBWE AKIZUNGUMZA
0 Comments