Kocha mkuu wa kikosi cha Queens Park Rangers Harry Redknapp amewasifiwa wachezaji wake kwa uwezo wao, kufuatia ushindi wa
mabao 2-0 dhidi ya Aston Villa katika mchezo uliopigwa katika dimba la Loftus Road jana usiku.
mabao 2-0 dhidi ya Aston Villa katika mchezo uliopigwa katika dimba la Loftus Road jana usiku.
Matokeo hayo yanawasogeza Rangers kidogo na ndani ya nafasi moja ya kuikalibia Sunderland, ambao wote wako katika mstari mwekundu wa timu tatu za chini katika msimamo wa Ligi Kuu.
Mabao mawili ya QPR yalifungwa na Charlie Austin katika dakika ya 17 na ya 69 ya mchezo huo.
Lakini Redknapp hakushindwa kuwasifia wachezaji wake kwa mchezo mzuri.
Redknapp alisema: "ndio Wamecheza vizuri,Nadhani sisi tutafanya hivyo milele zaidi."
"Wao walianza kupata kidogo mpira katika kipindi cha pili na kutawala lakini nilihisi wakati uliyopita na sisi tulikuwa imara katika nafasi ya kiungo, na ghafla tulianza kupata umiliki wa mpira, natulijiimarisha na kutengenza nafasi kubwa".
"Sisi tuligonga mwamba baada ya shuti la Junior, na tungepata bao zuri kutoka kwa Vargas baada ya pasi nzuri na jinsi walivyocheza, hivyo kwa ujumla Nilidhani sisi tulistahili kushinda.
"kama ilivyokuwa dhidi ya Liverpool. tukaondoka,na kufanya kazi kwa bidii usiku wa leo. Sisi tulifanya hivyo dhidi ya Stoke,tulifanya kazi kwa bidii".alisema Harry Redknapp
KWA TAARIFA,BREAKING NEWS,RATIBA PAMOJA NA MATOKEO YA MECHI MBALIMBALI,LIKE PAGE YA FACEBOOK BONYEZA HAPA (Jamii na Michezo) .
0 Comments