Manchester United wako katika mashaka huenda wakamkosa Radamel Falcao katika mchezo wao dhidi ya
Chelsea siku ya Jumapili baada ya mchezaji huyo kuumia katika mazoezi.
Mshambuliaji huyo alianzaia bechi katika mchezo dhidi ya West Brom kutokana na kuchelewa kwa ndege alipokwend a kuitumikia timu ya taifa lake Colombia, na kuingia kama mbadala wa Mata dakika 18 za mwisho wa mchezo huo uliomalizika kwa sare ya 2-2.
"Aliumia asubuhi [siku ya Ijumaa] hivyo sisi tunasubiri kuona kama atakuwa fit vya kutosha," Van Gaal aliiambia tovuti rasm ya klabui .. "Lakini hana tatizo la goti.
" alikuwa na tatizo la goti lakini si tena. Tunamjenga Falcao arudi," alisema katika mkutano wa waandishi wa kwanza alipofika katika klabu yao.
KWA TAARIFA,BREAKING NEWS,RATIBA PAMOJA NA MATOKEO YA MECHI MBALIMBALI,LIKE PAGE YA FACEBOOK BONYEZA HAPA (Jamii na Michezo) .
0 Comments