Mhariri:Herman Kihwili IMEWEKWA.Sept.18,2014 SAA 06:46 USIKU
Aston Villa wamethibitisha kuwa meneja Paul Lambert amesaini mkataba mpya na klabu hiyo hadi Juni 2018.
Afisa Mtendaji wa klabu hiyo Tom Fox alisema: "Nina furaha ya kwamba tumemuongezea mkataba meneja Paul Lambert mpaka mwishoni mwa msimu wa 2017-18".
"Paulo na Randy walikuwa katika majadiliano kuhusu hoja hii wakati mimi nilifika kwenye bodi na sisi tulihitimisha makubaliano yetu wiki iliyopita".alisema Tom Fox
Naye Meneja wa Villa alisema: "Nina furaha kwa kuungwa mkono na Mwenyekiti wetu, Randy Lerner, na Tom Fox, Mkuu wetu mpya Exec, na mimi nina nia ya kwamba sisi tutaendelea kujenga Club hii ambayo sisi wote tunataka iwe".alisema Paul Lambert.
0 Comments