Nahodha wa Argentina Lionel Messi anaamini kocha Alejandro Sabella atarudisha uwezo wa mashambulia kwa
timu yake, na ni pamoja na yeye kuwa miongoni mwa washambuliaji wa tatu wakati watakapokutana na Iran siku ya Jumamosi.
Mshambuliaji wa Napoli Gonzalo Higuain anatarajiwa kurudi katika kikosi cha kwanza cha Sabella kama kuongeza nguvu kwa ajili ya kujihakikishia nafasi yao katika mzunguko wa pili wa Kombe la Dunia na kama wakiishinda Iran.
Na Messi anasema anajisikia vizuri zaidi kucheza na wote yaani,Higuain na Sergio Aguero katika mpambano huo.
"Sisi ni Argentina na Nadhani tunahitaji kuwa makini wenyewe bila kurekebishwa na nani, sisi Tunacheza," alisema mchezaji huyo bora wa mwaka mara nne.
USISAHAU KULIKE PAGE YA FACEBOOK, BONYEZA HAPA (Jamii na Michezo)
USISAHAU KULIKE PAGE YA FACEBOOK, BONYEZA HAPA (Jamii na Michezo)
0 Comments