Mhariri:Herman kihwili,IMEWEKWA.Jun. 03,2014 SAA 11:47 JIONI
Rais wa Sevilla Jose Castro amethibitisha
kwamba Liverpool wana nia ya kimsaini Alberto Moreno msimu huu.
Beki huyo wa kushoto amekuwa akihusishwa na kujiunga na kikosi cha Brendan Rodgers na amekosa nafasi ya kuwepo katika kikosi cha wachezaji 23 wa Hispania katika Kombe la Dunia kikosi.
Castro anasisitiza klabu ilifungua mazungumzo kwa kutoa fedha kwa ya aijili Moreno kwenda Anfield lakini wasiwasi ni kwamba mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 21 hata ondoka kutokana na bei.
"Ni kweli kwamba kuna ofa kutoka Liverpool na tunasubiri kuona kama wanarudi katika hali halisi, au sio," Castro aliiambia televisheni ya klabu.
Liverpool tayari wamesha mchukuwa mshambuliaji wa Southampton Rickie Lambert, Liverpool pia wamefika dau la £25 million kwa uhamisho wa Adam Lallana.
0 Comments