Matumaini ya Afrika katika michuano ya kombe la dunia yanazidi kupotea baada ya hii leo timu ya Ivory Coast
kuweza kupokea kichapo cha mabao 2 kwa moja kutoka katika timu ya Colombia,katika mchezo wa kundi C uliopigwa Estadio Nacional de Brasilia.
Mabao ya Colombia yamefungwa na James Rodriguez dakika ya 64 na Juan Quintero dakika ya 70.
Na bao la Ivory Coast limewekwa nyavuni na Gervinho dakika ya 73.
Ivory Coast sasa wanahitaji kushinda mechi yao ya mwisho dhidi ya Ugiriki ilikuwa na matumaini ya kumaliza katika nafasi ya pili ya kundi hilo na kusonga mbele katika hatua ya maondoano.
Joy: James Rodriguez celebrates putting Colombia in front against the Ivory Coast in World Cup Group C
No chance: The Monaco midfielder's bullet header was too quick for Boubacar Barry
Got history: And the celebration wasn't bad yet again from the Colombians
Calm: Juan Fernando Quintero slots the ball past Barry to make it 2-0 to the South American side
Impact: The Porto playmaker hadn't been on the pitch in the Brazilian capital for long
Colombia inaongoza kundi hilo ikiwa na jumla ya alama 6 huku Ivory Coast ikiwa ya pili na alama 3 kufuatia ushindi wao wa kwanza dhidi ya Japan.Japan inashikilia nafasi ya tatu.Ugiriki ni ya mwisho katika kundi C.
Still in with a shot: Gervinho pulled one back for the Elephants after a fine run
Celebration: Goalkeeper David Ospina couldn't keep the ball out at his near post
Shocking: Teofile Gutierrez missed a sitter for Colombia from six yards in the first half
Emotional: Ivory Coast midfielder Geoffroy Die cried during the national anthems before the game
Outrageous: And then pulled off a crazy dive during the game, feigning injury
Tussle: Juan Cuadrado and Die battle for the ball during the Group C game
Popping up all over the pitch: James Rodriguez was influential on Thursday
Argument: English referee Howard Webb tries to settle a dispute on the pitch
Taking down a giant: Abel Aguilar successfully tackles Manchester City midfielder Yaya Toure
Getting in the spirit: A Colombia fan enjoys herself at the Brasilia national stadium
MATCH FACTS
Colombia: Ospina 6, Armero 7 (Arias 72), Yepes 7, Zapata 6, Zuniga 6, Sanchez 6 Moreno 6, Aguilar 6 (Mejia 78), Ibarbo 6 (Quintero 53 7), Rodriguez 7, Cuadrado 8, Gutierrez 6.
Goals: Rodriguez 64, Quintero 70
Ivory Coast: Barry 6, Boka 6, Bamba 6, Zokora 5, Aurier 7, Die 6 (Bolly 73), Tiote 6, Gervinho 6, Yaya Toure 6, Gradel 6 (Kalou 67 7), Bony 5 (Drogba 60 5).
Goal: Gervinho 73
Referee: Howard Webb (England) 7
0 Comments