Mhariri:Herman kihwili,IMEWEKWA.May. 10,2014 SAA 09:04 USIKU
Mkalimani lugha ya ishara aliyetuhumiwa kutumia ishara za mkono za uongo wakati wa msiba wa Nelson Mandela,
ameonekana katika tangazo akiwa hana tatizo lolote.
Thamsanqa Jantjie aliomeonekana katika tangazo biashara kwa ajili ya programu ya video, iliyotolewa na kampuni ya Tel-Aviv, Livelens.
Akizungumza na BBC mwezi Desemba, Mr Jantjie alisema utendaji wake usiokuwa na uhakika katika msiba wa Mr Mandela ulikuwa ni kutokana na tatizo la akili alilopatwa siku zilizopita,na kufafanua kuwa siku hiyo alioona malaika wakishuka kutoka mbinguni.
Lakini Mkurugenzi Mtendaji wa wa Livelens Max Bluvbland alisema kuwa alikuwa na uhakika alikuwa vizuri wakati wa utengenezaji wa tangazo hilo na alielezea kuwa Mr Jantjie ni "mtu wa kawaida" ambaye alifanya "tukio lile kwa bahati mbaya sana".
ANGALIA VIDEO
0 Comments