Mhariri:Herman kihwili,IMEWEKWA March. 15,2014 SAA 12:24 ASUBUHI
Utata umezunguka mustakabali wa Nicolas Anelka ndani ya klabu ya West Bromwich Albion baada ya siku ya
Ijumaa klabu kusema
wamepokea taarifa rasmi ya nia yake ya kufikia mwisho wa mkataba wake na klabu hiyo yenye ushindani wa Ligi Kuu.
Katika siku za Mapema mshambuliaji huyo wa zamani wa Ufaransa,alipingwa marufuku kwa mechi tano na FA kufuatia utata wa saluti yake ya 'Unazi' mwezi Desemba, alisema kuwa ataiacha kabisa klabu ya West Brom.
"Kufuatia
mazungumzo na klabu yangu wameniaambia mimi naweza kurudi
katika kikosi chini ya masharti fulani wamenipa ambayo siwezi kukubaliana nayo,"
mchezaji huyo alisema katika ukurasa wake wa Twitter@ anelkaofficiel".
"Ikiwa nataka kuhifadhi heshima yangu nimeamua bure mwenyewe kukatisha mkataba wangu na WBA pamoja na athari za haraka zitakazojitokeza."
![]() |
| Saluti yenyewe ndio hii |
West
Brom, ambayo ni ya nne kutoka chini ya msimamo, sehemu moja juu ya ukanda
wa kushuka daraja kwa tofauti ya mabao, watawafuata Swansea City siku ya Jumamosi, pasipokuwa na Anelka ambaye anakosolewa kwa kukosa uadilifu.
Maelezo ya Klabu juu ya maoni Nicolas Anelka katikaTwitter jioni ya jana," walisema Albion kwenye tovuti yao (www.wba.co.uk). "Hata hivyo klabu imepokea kitu rasmi kuhusu kusitisha kwa mkataba wa Nicolas Anelka kutokana na ama yeye au washauri wake".
"Upande wa Klabu kutoa taarifa hiyo kwa vyombo vya habari na kwa jamii ni kama tutakuwa sio professional, tutatoa taarifa zaidi wakati mwafaka".
"Klabu inathibitisha imekuwa ikiendelea na majadiliano na Nicolas Anelka na
washauri wake kama sehemu ya ndani ya uchunguzi wake mwenyewe juu ya
ishara aliyofanya baada ya kufunga bao dhidi ya West Ham United tarehe 28
Desemba," iliongeza West Brom.
"Kufuatia kuhitimika kwa uchunguzi wa FA juu ya tukio hilo ni sawa na klabu ilikuwa na matumaini ya kuhitimisha uchunguzi wake wiki ijayo."
Anelka,
ambaye alitimiza miaka 35 siku ya Ijumaa, alifanya salute ya hiyo Unazi,anayoaminiwa kama ishara ya kibaguzi dhidi ya Wayahudi,wakati yeye alipofunga bao la kwanza katika sare ya 3-3 katika mchezo wa ligi na West Ham.


0 Comments