Mhariri:Herman kihwili,IMEWEKWA March. 14,2014 SAA 10:34 ALFAJIRI
Baada ya wazee wa Yanga kutoa tamko kupitia kwa Katibu wa Baraza la Wazee la Yanga, Mzee Ibrahim Akilimali,ambapo wamesema kuwa kama Uongozi wa manispaa ya Ilala utashindwa kutoa ufafanuzi ndani ya
siku tano juu ya hatma nyongeza ya eneo la ujenzi wa uwanja na kibali cha ujenzi,basi kwa mujibu wa Taarifa yao wanapanga kuomba idhini kwa uongozi ili waweze kuandamana.
Lakini mara baada ya kupata malalamiko hayo,Jamii na Michezo moja kwa moja ikaamua kugonga hodo katika Ofisi za manispaa ya Ilala ili kuweza kujua kulikoni.

0 Comments