Wawakilishi pekee wa Tanzania kwenye Mashindano ya Klabu Bingwa Barani Afrika timu ya Young Africans,wameliibuka na
ushindi wa bao 1 kwa 0 siku ya Jumamosi 1 March 2014 katika mchezo dhidi ya Al Ahly uliofanyika Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam.
ushindi wa bao 1 kwa 0 siku ya Jumamosi 1 March 2014 katika mchezo dhidi ya Al Ahly uliofanyika Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam.
Bao pekee la Naodha wa timu ya Young
Africans Nadir Haroub "Cannavaro"katika dakika ya 82 ya mchezo,liliweza
kuwainua vitini mashabiki wa timu hiyo na kuweza kuwanyamazisha
mashabiki wachache wa timu ya Al Ahly ambao walijichanganya na wapinzani
wa Yanga kwa Tanzania.
ANGALIA VIDEO YA MAHOJIANO

0 Comments