Waliokuwa wawakilishi pekee wa Tanzania katika michuanao ya kimataifa Young Africans walitolewa kwenye mashindano ya Klabu
Bingwa Barani Afrika na mabingwa watetezi Al Ahly kwa mikwaju ya penati 4-3 kufuatia kumalizika kwa dakika 90 za mchezo Al Ahly ikiwa na bao 1- 0 hivyo kufanya matokeo ya jumla kuwa 1-1 mchezo uliofanyika usiku March. 9,2014 katika Uwanja wa El Max jijini Alexadria.

Na katika mchezo huo kulijitokeza kwa baadhi ya vitendo vya vinavyoashilia ushirikina kwa timu zote mbili,Jamii na Michezo imezungumza na ofisa habari na mawasiliano wa shirikisho la soka Tanzania Boniface Wambura Mgoyo,ili ipate kujua swala hili linashughulikiwa na nani.
BONYEZA PLAY KUSIKILIZA
ANGALIA VIDEO YA TUKIO KISHA TOA MAONI YAKO

0 Comments