Mhariri:Herman kihwili,IMEWEKWA March. 21,2014 SAA 09:52 USIKU
Kwa haraka haraka ukiangalia hii picha,utafikiria ni soksi ya mchezaji anayechezea soka katika timu za daraja la chini kabisa,kibongo bongo tumezoea kuita ndondo,lakini sikia
hii,hakuna kitu kama hiko.Damu ya fujo: Edeni Hazard akabaki na majeraha juu ya kifundo cha mguu katika mapigano kati ya Chelsea pamoja na Galatasaray |
Hii ni ilikuwa katika mapambano la siku ya Jumanne usiku katika mechi kati ya Chelsea dhidi ya Galatasaray, ambao ilishuhudiwa soksi ya mshambuliaji Kutoka Ubelgiji Eden Hazard ikichanika na nyingine kuvilia damu katika kifundo cha mguu wake.
Ilikuwa ni Changamoto ambayo Hazard anasema ilitokana na Aurélien Chedjou |
Eden Hazard aliweka picha katika ukurasa wake wa Instagram,akionyesha soksi yake ambayo iliharibiwa, na
kuonyesha uchungu kwa kuumia kwa kumtaja -mlinzi wa Galatasaray na timu ya taifa ya Cameroon Aurélien
Chedjou.
Kata chini: Hazard aliwekwa chini baada ya changamoto kutoka kwa mchezaji mwenzake wa zamani wa Lille , Aurélien Chedjou |
Hata hivyo Hazard ,hakuonyesha chuki kwa Chedjou ambaye ni mchezaji mwenzake wa zamani katika timu ya Lille.
0 Comments