Mhariri:Herman Kihwili,IMEWEKWA FEB. 16,2014 SAA 07:34 USIKU
 |
Kidole gumba:Ben Obama, ni ndugu wa Rais wa Marekani Barack,amefunga ndoa na mfanyakazi wa ofisi ya Msajili ,Lily Achoch katika mji wa Oxfordshire |
Ndugu
wa Rais wa Marekani amefunga ndoa na mhudumu katika mji wa Oxford - na
kupokea simu binafsi za pongezi kutoka kwa
ndugu wa mzee Barack.
Ingawa
ndugu yake ni mmoja wa watu wenye nguvu zaidi duniani,lakini Ben Obama amechagua mke kutoka katika mazingira ya kawaida kwa kufunga ndoa na mhudumu wa ofisi ya Msajili kutoka mji wa Oxford,Bi. Lily Achoch .
 |
Upendo wa ndugu: Rais wa Marekani Barack Obama na ndugu yake mdogo Ben katika Ofisi ya Oval ya White House mwaka 2007 |
Muda mfupi kabla ya sherehe, Ben mwenye miaka 42, alipokea simu ya mkononi ya Rais kutoka Washington DC.
Ikisema: 'tumesikia,kwa sababu Barack ni mwanasiasa muhimu sana katika dunia na ni kawaida kuwa busy sana".
"Lakini yeye hutenga muda kwa masuala ya familia,kanitakia mimi na Lily pongezi. aliniambia alikuwa anaangalia jinsi ya kukutana na kwamba itakuwa hivi karibuni".
 |
Mama: mama Ben Obama,Kezia, ambaye alihamia Bracknell, Berkshire kutoka Kenya mwaka 2003 |
 |
Mahusiano ya Familia: Kezia Obama akisalimiana na mke wa Barack ,Michelle wakati alipowasiri kwa ajili ya kuhudhulia kuapishwa kwa rais wa 44 wa Marekani mwaka
2009 |
Ben,
ambaye alikuwa mgeni rasmi wa Rais katika Ofisi ya Oval baada ya kuchaguliwa kama rais wa Amerika wa kwanza mweusi,alitania kuwa,Barack
hakutaja zawadi ya harusi.
"Labda atatoa - Natumaini hivyo,"alisisitiza.
Ndugu
hao wawili hivi karibuni waliongea kwenye simu baada ya magaidi kuvamia maduka ya ununuzi katika mji wa Nairobi, Kenya, ambapo Ben ndipo anapitokea.
Pia ni mjasiliamali,anamiliki mgahawa katika mji mkuu wa Kenya, ambapo alikutana na Lily,mwenye miaka 33, mwaka 2004.
Wanandoa hao wana watoto wawili - mwana wenye umri wa miaka minne na binti wenye umri wa miaka nane.
Ben
ni mwana wa baba Barack, Mwandamizi wa Barack nchini Kenya , na mtoto wa mama wa kambo wa rais,
Kezia - ambaye alihamia Bracknell, Berkshire, kutoka Kenya mwaka 2003.
Ben
alizaliwa kama Bernard Obama nchini Kenya mwaka 1970 na alikuwa na umri
wa miaka 12 wakati baba yake alifariki katika ajali ya gari katika mji wa
Narobi mwaka 1982.
0 Comments