Mhariri:Herman Kihwili,IMEWEKWA FEB. 13,2014 SAA 09:41 USIKU
Ligi kuu ya England imeendelea usiku wa kuamkia leo kwa michezo minne kupigwa katika viwanja tofauti,huku macho na
masikio ya wengi yakiwa katika mchezo kati ya timu ya Arsenal ambayo walikuwa wanawakalibisha Manchester United,na katika mchezo huo,ulimalizika kwa sare ya bila kufungana.
Mchezo hakuna: Joe Hart (kushoto) akipiga gumzo na wachezaji wa Sunderland Adam Johnson (katikati) na Vito Mannone
|
| kibanda kimeanguka baada ya kupigwa na upepo mapema jioni,nje ya uwanja wa Manchester City |
| bendera ya kona katika uwanja Etihad ikipigwa na upepo mkali |
Mechi kati ya timu ya Evarton na Crystal Palace pamoja na Manchester City na Sunderland ziliailishwa kutokana upepo mkali uliosababisha hali ya hewa kuwa mbaya.
| Nakusalimu wewe Mheshimiwa! Emmanuel Adebayor akishangilia baada ya kufunga bao lake na MBrazil Paulinho |
Played
February 12, 2014 7:45 PM GMT
St. James' Park — Newcastle-upon-Tyne
Referee: N. Swarbrick
Attendance: 48264
February 12, 2014 7:45 PM GMT
St. James' Park — Newcastle-upon-Tyne
Referee: N. Swarbrick
Attendance: 48264
Paulinho
53′
Meneja wa Tottenham Tim Sherwood na mwenzake wa Newcastle Alan Pardew kabla ya mchezo
|
Played
February 12, 2014 8:00 PM GMT
Britannia Stadium — Stoke-on-Trent, Staffordshire
Referee: J. Moss
Attendance: 24822
February 12, 2014 8:00 PM GMT
Britannia Stadium — Stoke-on-Trent, Staffordshire
Referee: J. Moss
Attendance: 24822
17′
Peter Crouch
Chico
52′
Mshambuliaji wa Stoke Peter Crouch (katikati) akishangilia baada ya kupata bao la kuongoza dhidi ya Swansea
|
| Mlinzi wa kati wa Swansea Chico Flores akishangilia bao la kusawazisha |
Played
February 12, 2014 8:00 PM GMT
Craven Cottage — London
Referee: P. Dowd
Attendance: 25375
February 12, 2014 8:00 PM GMT
Craven Cottage — London
Referee: P. Dowd
Attendance: 25375
8′ (OG)
Kolo Toure
Daniel Sturridge
41′
Coutinho
72′
| Steven Gerrard akifunga bao la adhabu ya penalti na kumtesa kipa David Stockdale |
| Simon Mignolet ikionekana kushangaa baada ya Kolo Toure kujifunga mwenyewe |
| huzuni: Kolo Toure akionekana kuwa na huzuni baada ya kujifunga mwenyewe |
| bao la kujifunga la Kolo Toure lilivyokuwa |
| Mgongano: Mwamuzi Phil Dowd akidondoka baada ya mgongano kati yake na Toure |
| Kipa wa Fulham Maarten Stekelenburg akishauliwa kwenda nje baada ya mgongano na mchezaji wa Liverpool ya Luis Suarez |
Played
February 12, 2014 7:45 PM GMT
Emirates Stadium — London
Referee: M. Clattenburg
Attendance: 60021
February 12, 2014 7:45 PM GMT
Emirates Stadium — London
Referee: M. Clattenburg
Attendance: 60021
| Add caption |
| Add caption |
Spain - Copa del Rey
Lionel
Messi ameweza kulingana na mkongwe Telmo Zarra baada ya kufunga jumla ya mabao 335 - na kuwa mchezaji wa kihistoria ambaye amefunga mabao zaidi katika klabu za Uhispania.
Record: Messi analingana na rekodi ya Telmo Zarra (hapo juu) kwa mabao 335 katika klabu za Kihispania
|
Messi ameweza kuisaidia Barcelona kufika fainali ya Copa del Rey kwa kufunga bao moja Dk.27 katika mchezo ambao ulimalizika kwa matokeo ya 1-1 na kuifanya Real
Sociedad kutolewa kwa jumla ya mabao (agg 3-1) katika nusu fainali yao ya pili.
Na siku ya jumanne Real Madrid walikuwa wa kwanza kutinga hatua ya fainali kwa kuichapa Atletico Madrid 2-0 na kufanya jumla ya matokeo kuwa 5-0 katika nusu fainali yao ya pili.
Fainali itakuwa ni kati ya Barcelona na Real Madrid itakayopigwa tarehe 19.04.2014
0 Comments