Mhariri:Herman Kihwili,IMEWEKWA FEB. 12,2014 SAA 07:51 USIKU
Tunajua kuwa anaweza kufanya karibu kila kitu juu ya uwanja wa mpira - lakini hatujui kuwa anaweza kupika pia akiwa tofauti na
kazi yake ya kucheza mpira.
'I lost a bet... And I had to cook.'
Lionel
Messi ameonyesha ujuzi wake upishi baada kuweka video
mwenyewe akiwa anapika chakula cha jioni kwa wachezaji wenzake - yote
inaonekana kwa sababu alipoteza mpambano wa kushindana kwa kuweka fedha na wachezaji wenzake.
Aliweka video na picha kupitia ukurasa wake wa Instagram siku ya Jumanne jioni na maelezo yanayosomeka: 'I lost a bet... And I had to cook.'
0 Comments